Welcome to WINGS MUSIC. Your #1 Music Website in Nigeria for Music Download

Harmonize’s New Release Kushoto Kulia: audio, lyrics.

0

Have you been contemplating on what new song to add to your playlist? This new banger by Harmonize titled Kushoto Kulia is definitely worth adding.

This song has enticing beats and lyrics that grab your attention.

Harmonize – Kushoto Kulia Song Information

Release date: November 20, 2019

Format: mp3

Genre: Bongo Flava

Length: 3:15 min

Label: Konde Music Worldwide

Producer: Bonga

Harmonize Kushoto Kulia Lyrics:

Kushoto kulia Kushoto Kulia (Yeshi)
Kushoto Kulia
Washa tochi ya simu sa tuone mwanga

Kushoto kulia Kushoto Kulia
Kushoto Kulia
Kapandisha wazimu analicheza vanga

KondeBoy for everybody
My music dey shake your body Eeh
coz I do this for my people
I wanna hear you sing tala lala

Kikando kinanigadi
Nafasi naongeza idadi
Saluti kwa wanangu wa ghetto
Segelea Okonga gwala gwala

Wasonipenda kazi wanayo
Eeeh kazi wanayo
Mie sipigi genga pesa ninayo
Eeeh pesa ninayo

Tunatia chenga wanafuata nyayo
Eeeh wanafuata nyayo
Tunapiga denda
wanapiga miayo Eeeh wanapiga miayo

We kesha kwa waganganga
Mwenzako najichanganganga
Nazisanya faranganganga
Nikipata natumia maduwoteru

Ruksa nipanganga
Napendaga vicheni vishanganganga
Na uturi wa kanganganga
Hakikisha unanukia

Kushoto kulia Kushoto Kulia
Kushoto Kulia
Washa tochi ya simu sa tuone mwanga

Kushoto kulia Kushoto Kulia
Kushoto Kulia
Kapandisha wazimu analicheza vanga

Samina mina eeh eeh Waka waka eeh eeh
Samina mina eeh eeh Waka waka eeh eeh
I say Samina mina eeh eeh Waka waka eeh eeh
Samina mina eeh eeh Waka waka eeh eeh

Wanaotaka shindana na mimi
Hawapati hata sare
Usishangae tattoo na vipini
Ni makonde chale

Peace kwa walonileta mjini
Mondi wa Tandale
Maneno majungu tupa chini
Muziki utawale

Kama nyapara kafunguliwa pingu wee
Kutwa tunachana mawingu wee
Ameshapanga wewe ni nani upangue
Unajitesa buree(Yii Aga)

We kesha kwa waganganga
Mwenzako najichanganganga
Nazisanya faranganganga
Nikipata natumia

Kushoto kulia
Kushoto Kulia
Kushoto Kulia
Washa tochi ya simu sa tuone mwanga

Kushoto kulia
Kushoto Kulia
Kushoto Kulia
Kapandisha wazimu analicheza vanga

Bonga! Mwambie cheopa
Moto hauzimwi na moto wewe Hahaha
wakiziba kulia Si tunapita kushoto

je mama jin Usicheze na jembe litakulipa
My nigga Jose wa mipango Konde Gang is for everybody everybody

Leave A Reply

Your email address will not be published.