Welcome to WINGS MUSIC. Your #1 Music Website in Nigeria for Music Download

Tanzanian Artist Mbosso Releases New Hit Titled Ate.

0

Tanzanian artist Mbosso is here with a new hit titled “Ate”. As soon as this song was released, it gripped the heart of fans. The melody and beat of this song is so soothing. Truly, this song is worth adding to your playlist.

Mbosso ‘Ate’ Song Information

Release date: November 16, 2019

Format: mp3

Genre: Afropop, Afrobeat

Length: 3:27 minutes

Label: Wasafi Classic Baby (WCB)

Produced by: Moccognius

Lyrics Of Mbosso Ate

Verse 1:

Nataka longa na Wewe Nikufunze Mapenzi

Mwenzako nayajua Nataka sema nawe

Nikufunze Penzi Mimi ninalijua Nipe nikubembeleze

Kama mtoto ng’ara Kwa raha zako ujinenepee

Nikushike Pendo lisiteleze likagaragara

Wabaya Macho Wasisogelee Aaaaah Ah

Bridge:

Twende Zanzibar Comorro

Mombasa Tucheze Zumari

Ndombolo Chakacha Nikupe Michezo hatari

Uzidi Takata Tuwe ng’aring’ari

Dangote Tanasha Chorus: Kama

Kikogwa nitala na Chumvi Ate ate ate atee

Vimboga mboga Sangara Uduvi

Ate ate ate atee Eeeeh iyanaaa iyaaaa

Ate ate ate atee Iyaaana iyaaaaa Ate ate ate atee

Verse 2: Mhh mhhh mhh mhhh mhhh Mimi Daktari

Daktari wa Mapenzi Dozi yangu temethali

Inatibu na kuenzi Mhh Yangu

Tamu tamu bila Kuchanjia Chachu

Kwa Kudambulia Swafi kwa Kuitumia ni Salama

Kama Buble Gum utatafunia Ndafu kwa kusukumia

Mhh Chakurumagia Kinyama

Penzi liogelee hii bahari Salama Selelea Se

Tuelee mioyo isiende mrama Selelea Se

Tule tujisosomoe nyama nyama za

Shawarma Selelea Se Habib Seleleaaa

Bridge:

Twende Zanzibar Comorro Mombasa Tucheze Zumari

Ndombolo Chakacha Nikupe Michezo hatari Uzidi

Takata Tuwe ng’aring’ari

Dangote Tanasha Aaaaah Ah

Chorus

Outro:

Jamaa mwali Kang’ang’ania

Anaitaka Mmhh Analilia Anaitaka Oooh

Kashikilia Anaitaka Nimpe

Yote yote Yani nzima nzima Anaitaka Oooh

Kulamba lamba Anaitaka Chocolate

Ya maziwa Anaitaka Yote yote

Do not forget to share this song with family and friends.

Leave A Reply

Your email address will not be published.